↓↓↓ Video ↓↓↓


KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY THE SCHOOL OF HEALING 01/ 11 / 2021

Воспроизведение вашего видео начнется через 40

↓↓↓ Video ↓↓↓


10 Просмотры

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY THE SCHOOL OF HEALING 01/ 11 / 2021 UJUMBE WA LEO: KUNA NGUVU MPYA ( THERE IS A NEW POWER ) SINT...

Дата загрузки:2021-11-02T03:30:12+0000

↓↓↓ Video ↓↓↓


Издатель
KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY THE SCHOOL OF HEALING 01/ 11 / 2021

UJUMBE WA LEO: KUNA NGUVU MPYA

( THERE IS A NEW POWER )

SINTAOGOPA MABAYA

Isaya 40 : 27 - 31
Zaburi 23 : 1 - 6


Isaya 40 : 27 - 31

27 Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, Bwana asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?

28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.

29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.

30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;

31 bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.

Zaburi 23 : 1 - 6

1 Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.

2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.

6 Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.

Mhubiri : Ev. Paul Ringo

Kwa maombi na ushauri:

Mch. Dkt. Eliona Kimaro.
Simu :+255655516053, +255754516053
YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com
Категория
Erotic films
Комментариев нет.